Kijana ni Mtu gani Katika Jamii?
Kijana katika famili kwa mtazamo wangu ninamfananisha na nguzu/msingi imara sana iwapo atakubalika na jamii inayomzunguka.
Mara nyingi Kijana ambaye siku zote huwa na msingi imara mbeleni hupata mafanikio Bora na hata kuwa tegemezi kwa Taifa alilopo. Hivyo humletea na kumfanya mtu huyu kuwa na misingi endelevu kulingana na shughuli au sehemu aliyopo.
Kijana anapofikia umri wa kujamiana, lugha ya kigeni wanasema FOOLISH AGE Kijana huanza plani za kutafuata Girl Friend na upande mwingine hutafuta Boy friend
JE NINI HASA MADHUMUNI AU MALENGO YA KUFANYA HIVI
1. Kumpata Mpenzi au Mwenza ambaye atamfariji
2. Kumpata Rafiki huyo kwa melengo ya Kuoa/Kuolewa
3. Kumpata Rafiki huyo kwa Kudumisha upendo Kimaso, Kimaisha n.k.
4. kumpata Rafiki kwa Kubadilishana mawazo na kupeana ushauri mbalimbali.
5. Kutaka kupata fahari kwa marafiki zake